MASIMULIZI
Tuesday, April 8, 2014
SERENA SEHEMU YA 7
RIWAYA : SERENA
SEHEMU YA 7
ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
“This is the day I’ve been praying for.Ouh God help me please.”Akasema Stella kwa sauti ya chini akiwa chumbani kwake amesimama mbele ya kioo huku akiwa mtupu.
“Today Jason must be mine and he’ll be mine forever.God I love this guy with all my heart.Give me enough guts to face him.I know even if he feels something he wont tell me.Ananiheshimu mno.Mimi ni mtu wa muhimu mno kwake kwa hiyo hawezi knieleza kitu chochote kuhusiana na masuala ya mapenzi akawaza Stella kisha akageuka na kujitazama kwa nyuma akatabasamu
“I’m such a sexy lady.i swear Jason must be mine.Tayari nimekwisha muondoa ule uoga aliokuwa nao kila anaponiona kwa kitendo cha kuogelea pamoja naye.Kitendo cha kuniona katika bikini kimemsisimua sana.As from today he’ll be mine.I’ll go till the end of the world just for him.I’ll use even a last cent I have till he learn to love me.So today is the day.Today my life begins” Akasema Stella kwa sauti ya chini kisha akaingia bafuni kuoga ili kujiandaa kwa jioni
ENDELEA…………………………
Jason baada ya kutoka kuogelea alijitupa katika sofa lililokuwamo chumbani mwake.
“ Gosh ! what a sexy lady.Sikujua kama Stella ni mzuri kiasi hiki.Stella amenikumbusha niliwahi kumpenda msichana mmoja aliitwa Serena.Mpaka leo sijawahi kupenda mwanamke mwingine kama yeye.I still love her up to now.Leo Stella amenisisimua mno.For years sijawahi kushikwa na mwanamke kama alivyonishika Stella .Du ! mzee mzima nusura ningeumbuka leo manake mwili wote ulisisimka pale alipokuwa akinishika maungoni kiuchokozi kabisa.Gosh ! Stella is an angel.Mpaka sasa hivi bado nasisimka kila nikikumbuka the way she touched me….”
Akainuka akaelekea dirishani akatazama nje
“this is becoming too hard for me.Nadhani kama ikiendelea hivi uzalendo utanishinda,nitashindwa kuvumilia na kujikuta nimefanya kitu ambacho sikuwa nimepanga kukifanya.Namuheshimu mno Stella kama mfadhili wangu na sikuwa nimefikiria kabisa kuhusu jambo hili lakini kama nikishindwa kuvumilia basi itanilazimu kufanya hivyo…..” Akawaza tena Jason halafu akaingia bafuni kuoga na kujiandaa kwa ajili ya chakula cha jioni.
Saa moja na nusu jioni Jason tayari alikwisha jiandaa akatoka na kuelekea sebuleni .Dakika kama kumi hivi baadae Stella akaingia pale sebuleni akiwa katika vazi jepesi la jioni.Alitembea kwa madaha.Nguo ile nyepesi iliweza kuonyesha hadi nguo alizokuwa amevaa ndani kitu kilichoyafanya mapigo ya moyo wa Jason yabadilike na kuanza kwenda kwa kasi.Mwili wote ulimsisimka.Sebule yote ilinukia uturi ulioonekana ni wa gharama kubwa sana aliokuwa amejipulizia Stella.
Stella akaenda kukaa katika sofa alilokuwa amekaa Jason akamtazama huku akitabasamu na kusema
“So tell me Jason how’s your
evening ? Akasema Stella huku akimimina mvinyo katika glasi. Jason akakohoa kidogo kisha akasema
“It’s a wonderfull evening.I like it.With an angel like you in the house ,its more than a paradise.” Jason akajikuta akiongea.
Stella akatabasamu kisha akasema.
“Hata mimi nafurahi kuwa na mtu kama wewe kwa jioni kama hii na nyingine nyingi zijazo.Let’s make our evening a very special
one.” Akasema Stella huku akimimina mvinyo katika glasi nyingine na kumkabidhi Jason.Jason akaipokea ,akapiga funda kadhaa.Ilikuwa ni mara yake ya kwanza kunywa mvinyo.Katika maisha yake aliogopa mno pombe.Sekunde kadhaa Jason akaanza kuona mabadiliko.Alijiona mwepesi,mwenye furaha na kila kitu mle ndani alikiona kizuri.
“Wow what a wonderfull place’ Akasema Jason huku akicheka.Stella akamtazama akatabasamu.
Stella akatazama mlangoni kwa lengo la kumuita muhudumu Jason akaligundua hilo na kuuliza.
“Vipi kuna tatizo lolote?
“Hakuna tatizo Jason nahitaji mhudumu aje atusogezee chakula hapa.Hakuna haja ya kwenda hadi chumba cha chakula”
“Don’t worry I’ll do that” Akasema Jason akainuka na kubeba chakula kukileta pale walipokuwa wamekaa wakaanza kula.
Walipomaliza kula wakaendelea na mvinyo.Jason alikuwa amechangamka mno.Stella akatabasamu akauliza
“Jason do you have a girlfriend?
“Girlfriend???? Jason akauliza kwa mshangao
“yes”Akasema Stella
“No I don’t have a girlfriend.Kama una maana ya mpenzi sina. .Mpenzi wangu kwa sasa ni masomo.Mpenzi wangu bado yuko ndotoni.”Akasema Jason huku akicheka
“Wow ! ni mara ya kwanza kusikia kwamba kijana mzuri kama wewe hauna mpenzi.Usinidanganye Jason kwamba hujawahi kumpenda mwanamke yeyote toka umezaliwa? Stella akauliza tena.Jason akafikiri kidogo na kusema
“uhhhm ! niliwahi kumpenda binti mmoja hivi wakati nasoma,lakini nilionana naye mara moja tu na sikuwahi kuonana naye tena mpaka leo hii.Kusema ukweli ni msichana aliyeiteka akili yangu yote lakini kwa bahati mbaya sikuwahi kuonana naye tena na sijui nitamuona wapi.Vipi kuhusu wewe,lini unaolewa?
Stella akakaa kimya ,akafikiri kidogo kisha akajibu
“Sitegemei kuolewa hivi karibuni.”
“kwa nini?
“Sina mchumba”
Jason akacheka kicheko kikubwa mno.
“Stella usinidanganye.Kamwe huwezi kosa mchumba.Mwanamke mrembo kama wewe useme huna mchumba,it’s impossible.”
Stella akatabasamu.
“Jason ni kweli sina mchumba .yah ! wengi wananitamani na ninapata usumbufu mwingi kila siku lakini moyo wangu hauko tayari mpaka nitakapompata yule ambaye ataufanya moyo wangu usimame.Unajua Jason linapokuja suala la mapenzi haya mambo yote sijui ya utajiri,uzuri ,sijui uheshimiwa vyote havina maana.”
“ kwa hiyo bado hujampata huyo mtu atakayeusimamisha moyo wako? Jason akauliza
Stella akatabasamu kisha akasema taratibu
“ I’m in love with some one lakini hajui kama nampenda kupita kitu chochote katika dunia hii.Si mtu tajiri,wala mwenye mambo makubwa.Ni kijana mpole,mzuri anavutia,hard worker,na ana kila kitu ninachokitaka toka kwa manaume wa ndoto zangu.” Akasema Stella
“Wow !that man must be very lucky” Akasema Jason
“What if its you” Akasema Stella katika hali ya utani lakini moyoni alikuwa akitaka kumpima Jason atakuwa katika msimamo upi
Jason akacheka sana,akasema
“Stella watu kama mimi ni wa daraja la chini mno kupendwa na mtu kama wewe.Wewe unatakiwa kuwa na mtu tajiri,msomi mkubwa au mwenye mali nyingi na sio watu kama sisi.Mtu kama mimi nitatoa wapi hata hela ya kukuweka katika hoteli kama hii?
Stella huku akicheka akasema
“Love is blind Jason.Na hivyo ndivyo ilivyo.Mtu ninayempenda mimi yuko tofauti na watu wanavyofikiri.”
Kimya kikapita cha sekunde kadhaa,Stella akauvunja ukimya
“Jason kama ingetokea unanipenda toka moyoni mwako ,can you be brave enough to tell me the truth ?
Jason kama kawaida yake akacheka kwanza ,halafu akasema
“To be honest No!.Siwezi kukwambia.Nitakufa na maumivu yangu.”
“Why?
“Because you must reject me and I can get hurt.I can’t afford you.” Akasema Jason na Stella akabadili maongezi ,wakawa wakiongelea mambo mengine kabisa tofauti na mapenzi,Maongezi yalikolea yakiambatana na kicheko kikubwa kila wakati.Stella akainuka akaenda mahala palipokuwa na redio kubwa iliyokuwa akipiga muziki kwa mbali,Akachagua mziki laini akaongeza sauti na kumwambia Jason.
“Jason can we dance”
Bila ubishi Jason akainuka akaushika mkono wa Stella ambaye alimvutia kwake ,akainua mikono na kuipitisha katika shingo ya Jason ,naye akaipitisha mikono yake katika kiuno cha Stella ,wakakumbatiana .Stella akamtazama Jason usoni kwa jicho la huba ,akamkaribia zaidi halafu akampiga busu zito mdomoni linalomfanya ahisi kama vile yuko mawinguni.Busu lile linastua kila kiungo cha mwili wa Jason na bila kutegemea anajikuta akimvuta Stella karibu zaidi na kumkumbatia kwa nguvu. Stella taratibu akajikuta akianza kuhema kwa kasi na kumkumbatia Jason kwa nguvu zaidi.Taratibu kinywa chake kikakaribia kinywa cha Jason ambaye naye akakipanua na kuuruhusu ulimi wa Stella uzame kinywani mwake na kujivinjari.Mikono ya Jason ilikuwa ikiupapasa mgongo wa Stella na kumfanya atoe sauti zenye miguno.
“Excuse me” Ilikuwa ni sauti ya muhudumu iliyowastua Jason na Stella.Muhudumu alitaka kujua kama wamekwisha maliza kula ili aweze kuondoa vyombo.Stella akamruhusu muhudumu atoe vyombo huku akiendelea kumkumbatia Jason.
“Let’s go to my room” akasema Stella kwa sauti ndogo huku akihema kwa kasi.Jaosn naye halikadhalika alikuwa katika hali tofauti kabisa.Alihisi kama yuko mawinguni,akainama na kumwinua stella akamuweka mikononi na kumbeba kuelekea chumbani.Taratibu akamuweka kitandani.Stella akamvuta Jason na kumwangusha kitandani halafu akamkumbatia kwa nguvu huku akimbusu mfululizo.
“I promised to hug you tightly and this is the day………..this is the day……this is the day…….uuh.” Akasema Stella huku akizidi kumkumbatia Jason kwa nguvu na kumpiga mabusu mazito mazito.Jason hakujibu kitu aliendelea na zoezi la kuuvinjari mwili wa Stella.Mkono wake wa kulia ukashuka chini ya shingo ya Stella akiwa anapapasa taratibu mara Stella akastuka na kutoa mguno mkubwa.
“ouh ! Jassssssss……!!!”
Jason hakuacha akaendelea na zoezi lile kwa umakini na ufundi mkubwa.
“ouh Gosh ! what a sexy lady” Akawaza Jason .Akauzungusha mkono wake wa kulia na kuifungua zipu ya lile gauni la Stella na taratibu akalivua na Stella akabaki na nguo ya ndani.Jason mzuka ukampanda baada ya kuushuhudia mwili ule na mzuri wa binti huyu aliyeumbwa akaumbika .
“Jasss I need you now………..” Akaguna Stella.Jason ambaye naye hali yake ilizidi kuwa mbaya akavua nguo na kumvuta Stella karibu yake na dakika tatu baadae ikaanza kusikika milio na miguno ya kimahaba.Tayari walikuwa katika sayari nyingine kabisa.
TUKUTANE TENA SEHEMU IJAYO………………..
KWA SIMULIZI ZAIDI TEMBELEA HAPA MASIMULIZI
0 comments:
Post a Comment
Followers
MAHABA
SERENA
BEFORE I DIE
I DIED TO SAVE PRESIDENT
FAIDIKA NA MASIMULIZI
DEATH MESSENGER
CHOMBEZO ZA MASIMULIZI
MISS TANZANIA PART 2
Blog Archieves
April 2014
(57)
About Me
pettysean.blogspot.com
View my complete profile
Total Pageviews
BONYEZA "LIKE" NA UJIUNGE NASI MOJA KWA MOJA KWA SIMULIZI MPYA KILA SIKU
Powered By
masimulizi
0 comments:
Post a Comment