Monday, April 7, 2014

SERENA SEHEMU YA 6




RIWAYA : SERENA
SEHEMU YA 6
Kabla sijasahu kuna gari nimeamuru upewe na dereva wa kukuendesha hadi hapo utakapoweza kuendesha mwenyewe.Nimewaambia kesho wakakuandikishe katika chuo cha udereva ili uwe ukijifunza muda wa jioni.Nataka uwe na muonekano wa kimeneja Jason”akasema Stella










2 comments:

Followers

 

BONYEZA "LIKE" NA UJIUNGE NASI MOJA KWA MOJA KWA SIMULIZI MPYA KILA SIKU

Powered By masimulizi