RIWAYA : " BEFORE I DIE "
SEHEMU YA 5
Joshua una watoto watatu kama ulivyonieleza na wote hao wanahitaji
matunzo bora,elimu bora ambayo itawajengea msingi bora wa maisha yao.Watoto na
familia yako wanahitaji kukaa katika nyumba nzuri na si ile unayoishi sasa.Yote
haya yanaweza kufanyika iwapo utaachana na pombe.Kwa hiyo naomba uniahidi kama
utaachana na pombe ili nione ni jinsi gani ya kuweza kukusaidia kwanza kupata
nyumba bora na baadae kukuinua kiuchumi.”SEHEMU YA 5
0 comments:
Post a Comment