“Jason huyu
ni Nancy mdogo wake Sasha ambaye anazaliwa
leo..” akasema Nange haalfu akamgeukia nanchy
“Jason karibu sana “ Akasema Nancy kwa
furaha.Binti huyu alijaaliwa sauti nzuri laini yenye kuvutia.
Isabella akanyamaza kimya akajaribu
kuvuta kumbu kumbu juu ya ile sherehe ya jana ya kuzaliwa Sasha.
“Mhh ! Isabela ni hadithi ndefu .It’s my first time
to feel this way.It never happened to me before”
“Ok Nange nitakupigia tukifika Dar”
akasema Serena
0 comments:
Post a Comment