ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
“Serenaa…!!!!!!. Akasema Dr Jason kwa mstuko mkubwa.
Kila mtu mle chumbani akastuka na kubaki
akishangaa.Serena ambaye alikuwa ameongozana na mama yake na Isabella naye
akabaki ameduwaa akishangaa.
“ Jason ..!!!!! ..akasema Serena kwa sauti ndogo.Isabella
mdogo wake aliyekuwa amekaa pembeni yake akageuka na kumtazama dada yake kwa
mshangao.
ENDELEA…………………..
PICHA LINAENDELEA..TUENDELEE KUWA PAMOJA KILA SIKU
0 comments:
Post a Comment