Ni Edson Benard pekee ambaye hakuungana na familia yao jioni hii ya katika
mapokezi ya mdogo wake Innocent anayerejea nyumbani baada ya kuhitimu shahada
ya kwanza ya uchumi na fedha katika chuo kikuu cha Columbia jijini New york
Marekani.
Tuesday, April 1, 2014
" BEFORE I DIE " SEHEMU YA 1
Posted by
pettysean.blogspot.com
at
Tuesday, April 01, 2014
PATRICK.C.K
Mwandishi wa simulizi za kuburudisha na kusisimua.
0 comments:
Post a Comment