RIWAYA : " BEFORE I DIE "
SEHEMU YA 4
ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA
Kila mmoja akamkazia macho Inno bila kuelewa alikuwa akimaanisha kitu gani. Innocent akaenda jikoni na kuwaleta Grace na Sabrina akawakaribisha mezani. “baba na mama,kaka Eddy na dada sarah,leo mmoja kati ya dada zetu hawa ameyaanza maisha mapya .Grace leo amepima afya na amekutwa hana maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Yuko mzima kabisa na ushahidi huu hapa” Innocent akasema na kuweka mezani karatasi za majibu ya vipimo toka hospitali .Kila mmoja akapigwa na butwaa. “Napenda tokea sasa mtambue kwamba Grace si muathirika wa virusi vya ukimwi na kwa maana hiyo basi anaanza maisha mapya na ningeomba watu wote humu ndani tumpe ushirikiano katika maisha mapya atakayoyaanza.Ni mapema bado kusema ni maisha ya namna gani atayaanza kwa sababu bado naangalia ni kitu gani cha kumsaidia ili aweze kuyaendesha maisha yake.” Innocent akafungua shampeni wakashangilia na kumpongeza Grace isipokuwa mama yake Inno aliyekuwa amefura kwa hasira.
ENDELEA.......................................................
Masaa
mawili baadae akaja meneja mwajiri wa kampuni,na moja kwa moja akaingia ofisini
kwa Innocent..
0 comments:
Post a Comment