RIWAYA : TEN CHAPTERS
SEHEMU YA 4
" Kama si Genes kuniomba kutoka na mimi
nikamuahidi siku ya leo wala
nisingerudi.Namheshmu sana Genes na siwezi kumuangusha.Iwapo nisingerudi leo
sidhani kama angenielewa." akawaza Naomi akawasha redio yake na kuweka muziki
laini akarudi tena kitandani.
0 comments:
Post a Comment