RIWAYA : TEN CHAPTERS
SEHEMU YA 9
.Mwili wa Genes ukapatwa na mstuko mkubwa kama chaji za umeme zimempitia.Akabaki ameduwaa akimkodolea macho msichana yule mweupe aliyekuwa amesimama pale kitandani akiwa amebakiwa na nguo nyeupe za ndani .Naomi akainama na kuliokota gauni lake akaliweka kitandani.Kitendo kile kikayafanya maungo nyeti ya Genes kupoteza utulivu.
0 comments:
Post a Comment