Saturday, April 26, 2014

TEN CHAPTERS SEHEMU YA 22




watu waliokuwa wamesimama wakiwa na nyuso za mshangao walikuwa wananiangalia kwa huzuni kubwa.Ghafla nikahisi miguu imeshindwa kutembea nikataka kuanguka lakini nikawahiwa na wanaume wawili waliokuwa karibu yangu.Wakaninyanyua na kunipeleka ndani ambako nilikuta idadi kubwa ya akina mama.Waliponiona wakaanzisha vilio nikajua tayari katika ajali ile nimempoteza mzazi mmoja au wote...Nikiwa sina hata nguvu ya kuongea jambo akatokea Pamela ambaye alikuwa ameshikwa na akina mama watatu.Aliponiona tu naye akajitupa chini akaanza kulia kwa nguvu



0 comments:

Post a Comment

Followers

 

BONYEZA "LIKE" NA UJIUNGE NASI MOJA KWA MOJA KWA SIMULIZI MPYA KILA SIKU

Powered By masimulizi