“ Nimekwisha zoea kuteseka kwa miaka
mingi na moyo wangu umekuwa sugu lakini
kwa hili limeniumiza kiasi cha kushindwa kuvumilia.Sitaki tena kuendelea kuumia
kiasi hiki.Machozi haya ninayoyatoa hapa ni
ya mwisho na sitaki kulia tena.Maisha yangu ya Arusha yanakamilisha sura
ya kumi nay a mwisho ya kitabu cha maisha yangu sura ambayo nimelia tena
machozi.Ninakwenda kukifunga kitabu cha maisha yangu na ninaapa sintalia tena.”
Akawaza Naomi halafu akachungulia nje walikuwa wanakipita kijiji kimoja
Wednesday, April 16, 2014
TEN CHAPTERS SEHEMU YA 14
Posted by
pettysean.blogspot.com
at
Wednesday, April 16, 2014
PATRICK.C.K
Mwandishi wa simulizi za kuburudisha na kusisimua.
0 comments:
Post a Comment