“Dr henry tunafahamu Dr
selemani ndiye aliyekuwa mtaalamu wa dawa za usingizi pale hospitalini kwenu na
kwa sasa tayari amekwisha fariki.Tunataka siku ya operesheni ya mzee
Albano,tumuweke daktari wetu wa dawa za usingizi.Huyu yeye kazi yake ni
kuhakikisha mzee Albano analala moja kwa moja na haamki tena.Tunataka kifo
kisicho na mashaka yoyote.Nadhani sio kitu kigumu kwako Dr Henry.
Wewe ndiye daktari mkuu pale hivyo unauwezo wa kuamua lolote lile.”
Wewe ndiye daktari mkuu pale hivyo unauwezo wa kuamua lolote lile.”
Waliendelea
kupata chakula kile kitamu ambacho kilikuwa ni maini ya ng’ombe
yaliyotengenezwa vizuri.
0 comments:
Post a Comment