“Paula
kila kitu kinapangwa na Mungu.Lakini kwa hil la kutengana kwetu hatuwezi
kumlaumu Mungu.Hili limetokea kwa sababu ya ujinga wangu.Sikutakiwa kufanya
vile.Sikutakiwa kutengana nawe Wewe ni mtu wa pekee sana maishani
mwangu.Thamani yako kwangu hailinganishwi na kitu chochote
kile.
Paula ,ninafahamu nilifanya makosa na tayari nimeshachelewa kwa sababu tayari umeshafanya maamuzi ambayo hakuna mtu wa kuweza kuyabadili,lakini pamoja na hayo yote naomba ufahamu kitu kimoja kwamba kama wewe ulivyoamua kuitunza ahadi uliyonipa kwamba siku zote hutakuwa tayari kuwa na mwanume mwingine zaidi yangu,na mimi napenda kukuahidi leo hii kwamba sintakuwa na mwanamke mwingine katika maisha yangu.Wewe ndiye mwanamke wa pekee kabisa maishani mwangu.Siku zote nitakupenda na kukuenzi kama ua la pekee kabisa moyoni mwangu.Nafasi yako katika moyo wangu sintaweza kumpa mwanamke mwingine yoyote.Popote utakapokuwa ,fahamu kwamba ninakupenda na nitakupenda wewe pekee hadi mwisho wa maisha yangu hapa duniani.”

0 comments:
Post a Comment