“dada
Latoya nashindwa hata nikuelezee vipi kuhusu Innocent kwa sababu maelezo yake
ni mengi sana.Naomba tukitoka hapa unikumbushe nitakueleza mambo mengi
kuhusiana naye.Naogopa kuongea hapa mbele ya wazazi wake.Mama yake hatupendi
sana mimi na Grace na ni yeye ndiye aliyesababisha Innocent aamue kuondoka pale
nyumbani” Sabrina akasema kwa sauti ndogo.Ni wazi alikuwa akiwaogopa wazazi wa
Innocent.
0 comments:
Post a Comment