“Siwezi
kujua ,lakini ninaona kama bado unaniogopa .Innocent nakubali nimeishi maisha
mabaya sana lakini kwa sasa sitaki tena kuishi maisha ya namna ile.Nataka
kubadilika.Naomba usiniogope tena Innocent.Nisaidie niweze kuanza maisha mapya”
Marina akasema na kumfanya Innocent acheke kicheko kidogo
Monday, April 14, 2014
BEFORE I DIE SEHEMU YA 12
Posted by
pettysean.blogspot.com
at
Monday, April 14, 2014
PATRICK.C.K
Mwandishi wa simulizi za kuburudisha na kusisimua.
0 comments:
Post a Comment