Kijasho kilianza kumtoka binti huyu mrembo.Alimpenda mno baba
yake.Taarifa ya kuumwa kwa baba yake ambaye alikwenda nchini Kenya kwa ajili ya
shughuli zake za kibiashara ilimstua
mno.Hakuwa na jinsi tena zaidi ya kumuamuru dereva ageuze gari warudi
nyumbani.Dereva akatii na kugeuza gari kisha Serena akaamua kumpigia simu Nange
.
0 comments:
Post a Comment